• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Zao la ufuta kumneemesha mkulima

Imetumwa : June 8th, 2018

Zao la ufuta kumneemesha mkulima

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Rukia Muwango amewahakikishia wakulima kuwa mfumo wa kukusanya na kuuza zao ufuta kwa njia ya mnada ni bora na yenye tija kwa mkulima

Ameyasema hayo mwanzoni mwa juma wakati akifungua kikao cha wadau wa zao la ufuta katika ukumbi wa Mondlane ambapo kikao hicho kilihusisha viongozi wa vyama vya msingi,maafisa kilimo wa kata, watendaji wa kata waheshimiwa madiwani na baadhi ya wakulima kutoka wilaya ya Nachingwea.

“Kupitia mfumo huu mkulima atalipwa kulingana na bei ya soko,mpango huu una lengo la kumkomboa mkulima kutoka kwa wale wote wenye lengo la kumnyonya” Alisema mheshimiwa Muwango

Akiwasilisha mada katika kikao hicho Mkuu wa Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Rafael Ajetu amesema kuwa ufuta utakuwa ukikusanywa kupitia maghala ya AMCOS husika na minada tafanyika katika maghala yaliyoteuliwa ambapo kwa wilaya ya Nachingwea yapo 34.

”AMCOS zitakuwa na jukumu la kujua na kutoa takwimu za kiasi cha ufuta ulioko katika eneo lake mfano ufuta uliokusanywa katika kila tawi na kuziwasilisha kwa afisa ushirika” Alisisitiza Ajetu

Aidha wadau walionesha hofu ya AMCOS kupata hasara na hatimaye baadhi ya wafanyakazi wake kuingia matatani kutokana na unyaufu wa wa zao la ufuta kuwa juu

Akitoa ufafanuzi Mkuu wa Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika Rafael Ajetu amesema kuwa kama ufuta umekauka vizuri hauwezi kupungua uzito kwa haraka na kuwahamasisha wakulima kukausha ufuta wao vizuri kabla hawajaupeleka kwenye maghala ya kukusanyia

Mnada kwa zao hili la ufuta unategemewa kuanza tarehe 12.06.2018, bei yake haitakuwa chini ya shilingi 1764 kwa kilo.

Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2019 December 16, 2018
  • Tangazo la kazi ya 'Data Officer December 01, 2018
  • Tangazo la mkutano wa Baraza la madiwani July 20, 2018
  • Tangazo la waliofaulu usaili wa kuandika nafasi za watendaji wa vijiji daraja la III June 18, 2018
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Wadau wa Elimu Nachingwea watakiwa kutimiza wajibu wao

    February 15, 2019
  • Nachingwea kupatiwa gari la wagonjwa

    December 20, 2018
  • Wakulima waaswa kuwa watulivu wakati zoezi la uhakiki likiendelea

    December 01, 2018
  • Vijana watahadharishwa kujihadhari na wanafunzi

    November 18, 2018
  • Angalia zote

Video

Kilwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.